Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Faiza Ally na kashfa ya utapeli

Shida sio biashara shida mizigo inachelewa ila Sasa anajibu Watu hivyo na block juu

Na sio kua wote wametapeliwa wengine wamepata
Kuna mmoja aliagiza chupi January zikaja Dec zimefuka zinanuka uvundo ptuuuu
[emoji1][emoji1][emoji1]Anasema aligawa na kuvaa mwenyewe zotee
Sasa Si kulostishana hukoo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ila kuna wateja wengine pasua kicjwa .kwa hili faiza anaenda kuwa mfanyabiashara kamili sasa..maana anasafishwa kwa moto aise
 
Usiwa amini waswahili wa mitandaoni
 
Yaani kuna alibaba, madeinchina wote hao unaagiza mzigo kwa jumla na hata ukitaka sample kwanza unatumiawa.

Kwa mizigo mikubwa silent ocean yupo hapo kukatiza bahari kama vile nchi kavu ili mradi mzigo ukufikie.

Viherehere vya kufanya kazi na mastar ndo vinawaponza, mastar wenyewe njaa tupu
Ni maajabu kwa kweli. Unamuamini mtu eti kisa ni star na ana followers kadhaa Ig na Twitter. Kuna watu ni wapumbavu sana.
 
Unamuingizia pesa kwenye acc yake unasubiri mzigo [emoji2]
Mi hapanaa jamani kwanza Sina Hela
Niliwahi agiza blenda china kwa Mtu [emoji16][emoji16][emoji1][emoji1]imefika vzr sana kuiwasha TU inatia cheche hizoo ,niliitumia mara Moja sijui mbili baasii
Hamu yote Imeniishaa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
kuna sisi hapa, wazee wa kuorder kwa wajasi wa IG.
Mie sikomi… siku nikipigwa ndio nitashtuka. Ila kwa sasa, na kuorder bidhaa kuendelee [emoji16]
Wapo waaminifu dear wengi tu but few ndo matapeli na wanaharibu Sasa hao
Ila wapo waaminifu wengi tu but Mimi mastaa hapana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna wateja wengine pasua kicjwa .kwa hili faiza anaenda kuwa mfanyabiashara kamili sasa..maana anasafishwa kwa moto aise
Mungu amsimamie Kwa Kweli though hizi tuhuma hazijaaanza Leo Toka miaka miwili iliyopita na shida ilianza kipindi Cha lock down pale ndo paliharibu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo ni kuwa biashara kabla haijashika mizizi tayari mtu anajifanya yeye ni milionea na anafanya matumizi ya ajabu ajabu.
We ndo umeongea point kumbe zilikua pesà za wateja na Lau km angeweka akiba asingeyumba Sana ,Tena alipaswa awe chinj mpk akae sawa Sasa alianza kula faida kabla ya biashara kuanza kuchanganya

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama unatagemea faiza akuagizie mzigo toka china ni kwamba yeye anakulaa cha juu awe mbeba lawamaa ila nae risk ya kuzinguliwa ipo au kupokea mzigo sio so zote ni risk za biashara na kikingine wengine hawana subraa mizigo kusafirisha kwa meli sio mchezooo ni miezi mitatu na zaidi ndo unapata.
 
Back
Top Bottom