G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,283 Jul 30, 2016 #61 Sky Eclat said: Unajua kuna matukio katika maisha unataka uyadelete yapite usiyakumbuke kwa Sugu itakuwa ni siku aliyokutana na huyu binti. Click to expand... Ingekuwa smartphone sawa!MIPINI y etu hii waqt mwingine inatuletea matatizo kama haya.
Sky Eclat said: Unajua kuna matukio katika maisha unataka uyadelete yapite usiyakumbuke kwa Sugu itakuwa ni siku aliyokutana na huyu binti. Click to expand... Ingekuwa smartphone sawa!MIPINI y etu hii waqt mwingine inatuletea matatizo kama haya.
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,562 Reaction score 285,591 Jul 31, 2016 #62 wote wanafanana tu ila wema ana afadhal
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,175 Jul 31, 2016 #63 BangiNyeusi said: Acha dharau mkuu mbn kuna watu wanakula ganja na hawana akili kama hizo heshimu mmea wa kujua jema na baya Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha sawa mkuu salute kwako
BangiNyeusi said: Acha dharau mkuu mbn kuna watu wanakula ganja na hawana akili kama hizo heshimu mmea wa kujua jema na baya Click to expand... ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha sawa mkuu salute kwako