Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Ingekuwa smartphone sawa!MIPINI y etu hii waqt mwingine inatuletea matatizo kama haya.Unajua kuna matukio katika maisha unataka uyadelete yapite usiyakumbuke kwa Sugu itakuwa ni siku aliyokutana na huyu binti.