brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279

Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:
"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut....
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni - mi niko Na class beauty I AM DIFFERENT" Faiza Ally