Faiza Ally: Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani

Faiza Ally: Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani

Siyo jina master hivi vitu vina raha yake hutoki jasho unafanya unakuwa unafanya ile kitu tunaita comfortable sex, alafu wengi wao huwa tepetepe hamna haja ya kuongeza mafuta[emoji6] [emoji6] [emoji6]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hv mheshimiwa mbunge wetu, jiji lote hili la mbeya limejaa wanawake wa kisafwa, wandali, wanyakyusa, nk hivi hukumwona hata mmoja aliyekupendeza mpaka ukamwokota huyu mswahili?
 
Nadhani mheshimiwa anatamani kama angeweza abadili historia ila ndo hivo haiwezekani tena.
 
Huyu na Gigy money ni wagonjwa waliowazidi wagonjwa wa Milembe
 

Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:

"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut....
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni - mi niko Na class beauty I AM DIFFERENT" Faiza Ally
Surely, faiza anaweza kuwa Ni among beauty ladies??
 
Back
Top Bottom