Faiza Ally: Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani

Faiza Ally: Napenda Kuvaa Nusu Utupu, Najipenda Nilivyo Bomba Najua Wengi Mnatamani

Hizo ni stress za kuachwa tu angekua kaolewa wala asingefanya yote haya

Kuachwa noma sana
 
Kuna kutamaniwa na kutakiwa
Kutamaniwa = Mwanaume afanye lake na kuondoka.
Kutakiwa (kupendwa) = Mwanaume akuweke uwe wake.
Sasa ndio anatamaniwa tu huyu
 

Mrembo Faiza Ally Ameamua Kufunguka haya Hapa Chini:

"Napenda kuvaa half naked - Na najipenda kujiangalia nilivyo bomba Na kuangalia watu wanavyo niponda.... najue wengi mnatamani lkn Ndio hivyo tumeumbwa tofaut....
Msinifananishe na mtu mwenye mzigo nyuma#hakunaga star mnene duniani hlf pia msinifananishe na wenye vijuso Kama katuni - mi niko Na class beauty I AM DIFFERENT" Faiza Ally
Maskini anaumwa bila kujitambua
 
Mambo ya ulimwengu yananichanganya mimi, Masogange mzuri yupo hot! Faiza Ally nae mzuri yupo hot, na wote wana tamanisha, dah! fomula ngumu kama ya magazijuto vile..
 
pepo baya sana siyo Akili yake, maana Aiwezekani mtu na timamu zake kichwani akatamani kutembea utupu.

Hapa mahaka ikiwa inatoa adhabu za kesi za kubaka wachunguze na mazingira yaliopelekea mlalamikiwa kuchukua maamuzi ya kubaka.

Maana ubakaji mwingine usababishwa na mbakwaji. Siku hizi watu mjini wanatembea na nguo za kulalia.
 
Eti naye huyu alikuwa anataka aachiwe mtoto ...alafu baadae amkuze aje kujenga viwanda. Tz tatizo!
 
Huyu faiza ukifuatilia page yake ya IG utashangaa watu wanavyosifia ujinga wake anakaa anaupost. Kuna kipindi alipiga screen shot ya SMS ya m-pesa inayoonesha amepokea mil 1 akaanza kudanganya ati ni vodacom wanambembeleza asiendelee kuwapondea na mtandao wao.
Hahahahahaaaaa nilicheka sana. Juzi kapost picha yupo hospital anavyodai cjui alikuwa pharmacy nikakomenti nikionesha kutokuridhika na kivazi alichokivaa.
Hahahahaha kilichonikuta nilibaki kujichekea mnooo aiseee
 
Back
Top Bottom