Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Na nyie wanaume mpunguze dozi mnaona sasa,mtu unakanyaga mashine mpaka miaka yote dada wa watu anaweweseka,halafu mbaya zaidi pesa ipo ndo kazidi kuchanganyikiwa aaa!!
tukipunguza mtatuita wala chips tuna show za kike na majina ya kila aina
safi sana sugu kaikomoa haswa iyo nyapu
 
Mapenzi bwana tuyaache kama yalivyo nadhani huyu dada toka aachwe na Sugu hajapata wa kumfikisha kama jamaa, maana kutwa kumsema mara hiki mara kile, mara amtukane, mara aombe radhi khaaaaaa
Hiyo inaitwa Sugu Suguni. Alisuguliwa na Sugu akawa Sugu.
 
View attachment 781104
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.

Faiza amefunga hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.

Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.
Mwezi mchanga halafu ndio kwanza umeandama
 
Mapenzi bwana tuyaache kama yalivyo nadhani huyu dada toka aachwe na Sugu hajapata wa kumfikisha kama jamaa, maana kutwa kumsema mara hiki mara kile, mara amtukane, mara aombe radhi khaaaaaa
Lile dish la medulla huwa linacheza.. Kuna bolt nut hazijakaza
 
Huyu dem kama saa mbovu, yaani sugu kama kakosa mwanamke bora atumie Sabuni, kuliko hizi stress.
 
Back
Top Bottom