Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Sometimes madhara ya kupiga peku sio magonjwa ya zinaa tu ila kuleta matatizo kwenye maisha unajikuta tu una ukaribu na mwehu mmoja kisa ni mzazi mwenzio.
tatizo hapa kukengeuka na marafiki uchwara ,wakati mnakubaliana nyie kwajili yamipango endelevu wapambe wanaingilia hasa wakikutana na mweza wako kichwa lesi
 
Na nyie wanaume mpunguze dozi mnaona sasa,mtu unakanyaga mashine mpaka miaka yote dada wa watu anaweweseka,halafu mbaya zaidi pesa ipo ndo kazidi kuchanganyikiwa aaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amu rafiki yako ameukumbuka tena mshedede wa sugu
 
View attachment 781104
Faiza Ally ambaye ni muigizaji wa Bongo movie na mama watoto wa Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema kuwa hayuko tayari kuolewa na mzazi mwenzake huyo bali anaweza mzalia mtoto mwingine.

Faiza amefunguka hayo katika mazungumzo yake na eatv.tv ambapo amesema kuwa hana ndoto za kuolewa na Sugu bali anaweza mpatia mtoto mwingine kwakuwa ana mbegu nzuri na kujivunia kuwa binti yake ni mzuri kama baba yake.
“Sugu naweza mzalia mtoto mwingine maana ana mbegu nzuri kanipatia mtoto mzuri sana lakini sio kuolewa nae maana tulishindwana awali sidhani kama tunawezana tena”, amesema Faiza.

Mwana dada huyo mwenye watoto wawili hivi sasa ameendelea kusema kuwa ataongeza mtoto mwingine endapo atapata kipato zaidi lakini kwa sasa hali yake inamruhusu watoto wake hao wawili.
Nuzulati
Pitia huku
Dejane Demi
 
Hizo ni posts za zamani. Hamtaki tena sugu....katembelee page yake. Kwanza anajuta alivyokuwa anamlilia...
Wanawake tunawajua sana.
Usipompa leo hakutaki na anakuchukia sana.
Kesho ukimpa atakusifia kama Yesu.

Tunawajua ninyi mnaendeshwa na mihemko
 
Wanawake tunawajua sana.
Usipompa leo hakutaki na anakuchukia sana.
Kesho ukimpa atakusifia kama Yesu.

Tunawajua ninyi mnaendeshwa na mihemko
Ukimpa nini?
 
Back
Top Bottom