Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Na nyie wanaume mpunguze dozi mnaona sasa,mtu unakanyaga mashine mpaka miaka yote dada wa watu anaweweseka,halafu mbaya zaidi pesa ipo ndo kazidi kuchanganyikiwa aaa!!
tukipunguza mtatuita wala chips tuna show za kike na majina ya kila aina
safi sana sugu kaikomoa haswa iyo nyapu
 
Mapenzi bwana tuyaache kama yalivyo nadhani huyu dada toka aachwe na Sugu hajapata wa kumfikisha kama jamaa, maana kutwa kumsema mara hiki mara kile, mara amtukane, mara aombe radhi khaaaaaa
Hiyo inaitwa Sugu Suguni. Alisuguliwa na Sugu akawa Sugu.
 
Mwezi mchanga halafu ndio kwanza umeandama
 
Mapenzi bwana tuyaache kama yalivyo nadhani huyu dada toka aachwe na Sugu hajapata wa kumfikisha kama jamaa, maana kutwa kumsema mara hiki mara kile, mara amtukane, mara aombe radhi khaaaaaa
Lile dish la medulla huwa linacheza.. Kuna bolt nut hazijakaza
 
Huyu dem kama saa mbovu, yaani sugu kama kakosa mwanamke bora atumie Sabuni, kuliko hizi stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…