Faiza Ally: Sugu Mzuri, nipo tayari kumpa tena

Sometimes madhara ya kupiga peku sio magonjwa ya zinaa tu ila kuleta matatizo kwenye maisha unajikuta tu una ukaribu na mwehu mmoja kisa ni mzazi mwenzio.
tatizo hapa kukengeuka na marafiki uchwara ,wakati mnakubaliana nyie kwajili yamipango endelevu wapambe wanaingilia hasa wakikutana na mweza wako kichwa lesi
 
Na nyie wanaume mpunguze dozi mnaona sasa,mtu unakanyaga mashine mpaka miaka yote dada wa watu anaweweseka,halafu mbaya zaidi pesa ipo ndo kazidi kuchanganyikiwa aaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amu rafiki yako ameukumbuka tena mshedede wa sugu
 
Nuzulati
Pitia huku
Dejane Demi
 
Hizo ni posts za zamani. Hamtaki tena sugu....katembelee page yake. Kwanza anajuta alivyokuwa anamlilia...
Wanawake tunawajua sana.
Usipompa leo hakutaki na anakuchukia sana.
Kesho ukimpa atakusifia kama Yesu.

Tunawajua ninyi mnaendeshwa na mihemko
 
Wanawake tunawajua sana.
Usipompa leo hakutaki na anakuchukia sana.
Kesho ukimpa atakusifia kama Yesu.

Tunawajua ninyi mnaendeshwa na mihemko
Ukimpa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…