ulikuwa una argue na The Don,Money Stunna,a.k.a Mnyamwezi majina kibao naitwa,etc
stunna hiyo haikuwa maana ya jamaa....
hivi kumbe Mwisho Mwampamba hakuwa wa kwanza!! Duh! Kweli sisi wa mashambani.Huyu Linda ni Dada yake na Richard yule Mtanzania wa kwanza kushinda ule mchezo ule wa kishetani unaitwa BBA.
.
hivi kumbe Mwisho Mwampamba hakuwa wa kwanza!! Duh! Kweli sisi wa mashambani.
Huku kwetu sitimbi huwa tunajua mshindi ni mwisho mpaka leo
Wewe ni mtaalamu feki wa umri wa watu humu.
Ushawahi kudai Le Mutuz ana miaka 60 au sijui analingana umri na Mizengo Pinda.
Ulipoulizwa umejuaje ukaanza ngonjera.
Leo nimekubana tena kuhusu umri wa Zari. Hukujibu na ukaishia kuimba na kucheza mduara.
Kabla hata siku haijaisha umekuja tena na habari za umri wa Linda.
Nimekuuliza umejuaje, unaanza kucheza mdundiko.
You are such a shameless lying ass drama queen.
Boo-yaaaah.