Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

Jamani, huyu ni mwanamke au mwanamme?


Hana hata chembe ya aibu huyu. Hii ni fedheha kwakweli. Hawezi kuwa mfano wa kuigwa hata na watoto. Hebu imagine mtoto/watoto wakikua waone picha ya mama ipo hivi. Ni aibu sana.
 
Huyu Linda ni Dada yake na Richard yule Mtanzania wa kwanza kushinda ule mchezo ule wa kishetani unaitwa BBA.
.
hivi kumbe Mwisho Mwampamba hakuwa wa kwanza!! Duh! Kweli sisi wa mashambani.

Huku kwetu sitimbi huwa tunajua mshindi ni mwisho mpaka leo
 
hivi kumbe Mwisho Mwampamba hakuwa wa kwanza!! Duh! Kweli sisi wa mashambani.

Huku kwetu sitimbi huwa tunajua mshindi ni mwisho mpaka leo

Mwisho hakuwahi kuwa mshindi wa big prize ya BBA.

Wa kwanza ni Richard Beizudenhout na wa pili ni huyu Idrisa wa mwaka jana.
 
Wewe ni mtaalamu feki wa umri wa watu humu.

Ushawahi kudai Le Mutuz ana miaka 60 au sijui analingana umri na Mizengo Pinda.

Ulipoulizwa umejuaje ukaanza ngonjera.

Leo nimekubana tena kuhusu umri wa Zari. Hukujibu na ukaishia kuimba na kucheza mduara.

Kabla hata siku haijaisha umekuja tena na habari za umri wa Linda.

Nimekuuliza umejuaje, unaanza kucheza mdundiko.

You are such a shameless lying ass drama queen.

Boo-yaaaah.

Lete post hapa niliyowahi kusema Le Mutuz ana miaka 60 nitaomba nipigwe ban ya maisha hapa JF.

Le Mutuz umri wake siyo siri mara nyingi ametakangaza hadharani umri wake na kujisifu muonekane wake na umri wake ni tofauti anaonekana kijana zaidi.

Pili Le Mutuz aligombea ubunge wa East Africa hakuna cha kufichaficha umri kwenye siasa umri wa wanasiasa uko wazi ndio maana watu makini tunaofuatilia siasa tunajuwa Lowasa ni mdogo kiumri kwa JK licha ya kwamba Lowasa kichwa kimejaa mvi.

Na pia tulijuwa kwa nini Nyerere alisema Kikwete bado mdogo hafai kupewa urais tuliposoma biography zao tukagunduwa Nyerere alikadhiwa nchi akiwa kijana mdogo sana alikuwa na miaka 39 tu. Kwa nini miaka miaka mingi baadaye amkatae Kikwete ambaye alikuwa over 40? Jibu limeshapatikana.

BTW heshima ni kitu cha bure hakuna asiyeweza matusi na kashfa, i just warn you.

Kajipange upya akili za Nyani usilete kwangu.
 
Japo huwa sipendi kujadili personalities. Personally nilibahatika kumsikiliza huyu mwanadada akiwa anahojiwa na Mketema wa take one. Kuhusu uvaaji wa pampas sina shida nao, but inaonesha amepanic baada ya kuacha na bwana ake.
 
Back
Top Bottom