Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

Faiza awachana wanaomponda kwa kuvaa Pampers siku ya kuzaliwa kwake

Attachments

  • 1421163465274.jpg
    1421163465274.jpg
    62.8 KB · Views: 322
Bado nasisitiza kwamba binafsi huna kosa, kosa lilianzia kwa wale waliokulea ovyo ovyo! Sugu ana wazazi na ndg wengine, do u think wakiona mkamwana wao amevaa hivyo tena publicly wanapata picha gani? Nahisi ww na yule nabii Tito mna undugu wa damu, maana akili zenu zinafanans sana!

hilo neno 'MKAMWANA'....wewe ni mngoni...?
 
Kwa mawazo yako unadhani mimi ni mtu Team mavi? Mimi Comment zangu based on reality, wanawake mjifunze kuwaheshimu wanaowapenda kwa dhati buzi likikata kamba ndio imetoka hiyo ikirudi pacha. Atajibeba.

Zari ikizunguwa Mkulu anamuozesha mwanaasha kabisaa ikulu.

Huu mwaka umeanza vizuri...
 
Hapo hapo ndo alipotaka kufa sugu juzi duu kazi kweli kweli
 
huyu linda ni nani mkuu

Watu wa mashambani mnaanza kuonekana sasa.

Huyu Linda ni Dada yake na Richard yule Mtanzania wa kwanza kushinda ule mchezo ule wa kishetani unaitwa BBA.

Victor Kimesera mwanaye anaitwa Mali ndio amemuoa huyu mrembo, wanaishi zao Atlanta kwa Obama.
 

Attachments

  • 1421182415429.jpg
    1421182415429.jpg
    37.1 KB · Views: 180
Bangi bana.

Wewe ni mtaalamu feki wa umri wa watu humu.

Ushawahi kudai Le Mutuz ana miaka 60 au sijui analingana umri na Mizengo Pinda.

Ulipoulizwa umejuaje ukaanza ngonjera.

Leo nimekubana tena kuhusu umri wa Zari. Hukujibu na ukaishia kuimba na kucheza mduara.

Kabla hata siku haijaisha umekuja tena na habari za umri wa Linda.

Nimekuuliza umejuaje, unaanza kucheza mdundiko.

You are such a shameless lying ass drama queen.

Boo-yaaaah.
 
Back
Top Bottom