Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Unaish WAP kwa sasa! Samahan lakn
 
Dah. Swali gumu sana.

Malengo binafsi hayana tena muda kwangu, sasa hivi malengo yangu ni kuelimisha yale machache niyajuayo. Umeiona signature yangu?
Anhaaa sawa hapo nimekupata...

Halafu naomba kukuuliza eti tukuulize maswali hapa kwa hapa na ujibu hapa hapa au mpaka baadae kwa maana ninavyokuuliza maswali wadau wanasema naleta fujo??
 
Anhaaa sawa hapo nimekupata...

Halafu naomba kukuuliza eti tukuulize maswali hapa kwa hapa na ujibu hapa hapa au mpaka baadae kwa maana ninavyokuuliza maswali wadau wanasema naleta fujo??
Unauliza kwa sifa mno namna hyo inatakiwa auloze DJ ww ambaye ni host wa show.
Sasa wewe Audience unapokonya MIC kwa host na kujipa wasifu kivuli hizo ndyo fujo zenyewe.
 
Back
Top Bottom