sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Unaweza kukisoma ulichokiandika Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukisoma ulichokiandika Mkuu?
Faiza una umri gani ,umezaliwa wapi Na kwa sasa unajishughulisha Na nini?
DuuuhNahsi sio Jose mwenyewe mwenyewe
Kichwa kichafu kwani ke,maana hz interview za muoshewa rungu zinahusu ke kwa 99%
Sawa bibie!Kule kwenye uzi wangu wa https://www.jamiiforums.com/threads...s-ushauri-kwa-uongozi-wa-jamiiforums.1166345/ niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.
Nimezaliwa Dar Es Salaam.
Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.
Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Umekuja muda wenyewe mkuuDuuuuuhhh,
Nimechelewa ukumbini tena
Mkuu hapa lazima fimbo cheza ikupitie. Labda asione au afunike..
1.Elimu ya dini inakusaidiaje katika maisha yako?Hope nimewahi
Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.
Nimezaliwa Dar Es Salaam.
Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.
Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Mama umeolewa? na una watoto wangapiii?Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.
Nimezaliwa Dar Es Salaam.
Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.
Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Ahsante sana nimeshakaribia swahiba nipo hapa namsubiria.
Una hoja ya msingi sana Comrade ila mimi nikimquote na kumuuliza maswali wadau wananipinga wanasema nafanya fujo hapa kwenye interview yake...Comrade mambo yakusema maswali ya audience yajibiwe baadaye ni miyeyusho aisee, huo mda baadaye anaupatia wapi?
Una hoja ya msingi sana Comrade ila mimi nikimquote na kumuuliza maswali wadau wananipinga wanasema nafanya fujo hapa kwenye interview yake...
Dah. Swali gumu sana.Unajiona wapi miaka mitano ijayo kimalengo Mungu akijaalia
Sasa kumbe nimichapia kiaina, c unajua smart [emoji12] [emoji12] [emoji12]Unaweza kukisoma ulichokiandika Mkuu?