Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza una umri gani ,umezaliwa wapi Na kwa sasa unajishughulisha Na nini?

Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumuuliza mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni "bibi" kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
 
Kule kwenye uzi wangu wa https://www.jamiiforums.com/threads...s-ushauri-kwa-uongozi-wa-jamiiforums.1166345/ niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Sawa bibie!
Nieleze vitu au tabia za pekee zilizokujenga kuwa Faiza foxy Leo!
 
Kule kwenye uzi wangu wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa niliwahi kuandika kuwa kumi lizards mtu umri ni ubaguzi. Chukulia tu kuwa mimi ni mtu mzima.

Nimezaliwa Dar Es Salaam.

Najishughulisha na mengi sana. Kwa uchache mimi ni bibi kazi ambayo nnaipenda kuliko zote.

Zingine ni pamoja na kilimo kidogo, ufugaji mdogo, consultant. Mjasiriamali na mwekezaji.
Mama umeolewa? na una watoto wangapiii?
 
Back
Top Bottom