Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Watu nnaoshindwa kuchanganyika nao ni wale wanaojisifia dhambi zao.

Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa au kuiba na kama hayo.

Watu kama hao huwa najiepusha kabisa.
Tukio lipi kubwa uliwahi kufanya kusaidia jamii inayokuzunguka!?
Jambo hilo lilikujengea sifa Na thamani ipi katika jamii!
 
Hujaitwa kuja hapa,dharau zako peleka kwenye Uzi mwingine,wewe ni mtu mmoja mbaya sana,una wivu Na ujinga mwingi sana.nani aliyekupa kazi ya kuwa editor hapa?
Ukijiuliza curriculum aliyekuwa anafanya fujo Jana alipo utapata akili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ww ni nani unamchagulia mtu cha kuandika humu, hii ni 'user generated content' ka google maana yake


Kipi kilichokusibu au alikunyang'anya mume mwenzako[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na nikukumbushe tu its CURICULLUM NOT CURRICULUM put that in yo skull[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sipati picha siku ukifahamu mm ni Mod[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nnaoshindwa [emoji735]

ninaoshindwa [emoji736]

"Hivi huko shule ulienda kusomea ujinga"?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watu nnaoshindwa kuchanganyika nao ni wale wanaojisifia dhambi zao.

Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa au kuiba na kama hayo.

Watu kama hao huwa najiepusha kabisa.
Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa au kuiba na kama hayo[emoji735]

Mfano mtu anajisifia kutoka nje ya ndoa,kuiba , na kama hayo[emoji736]
 
Mengi sana, maisha yangu yote nimekuwa kwanza naishi kwa jamii halafu ni mimi mwenyewe. Yanayoonekana na Yasiyoonekana.

Huwa sifanyi kwa sifa nafanya kwa kuwa ni wajibu wangu.
Jambo gani uliwahi Fanya Na ukaona hukustahili kulifanya!?
Unapofanya makosa huwa unamlaumu nani zaidi nafsi yako au wengine?
 
Back
Top Bottom