Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Unauliza kwa sifa mno namna hyo inatakiwa auloze DJ ww ambaye ni host wa show.
Sasa wewe Audience unapokonya MIC kwa host na kujipa wasifu kivuli hizo ndyo fujo zenyewe.
Watoto wa kike wakipigana sababu huwa za kitoto kama hizi[emoji23] [emoji23]

Au mnanipigania warembo wng[emoji23] [emoji41]
 
Jibu maswali yafuatayo


1)Una elimu gani ya dini na uliipatia nchi ipi/zipi?

2)Una swali? na je kama unaswali kwa nini sasa hivi ni muda wa swala lakini wewe upo humu kujibu maswali ya Sepetu na je maswali yake ni muhimu kuliko swala?

3)Quran imekunufaisha vipi kwa maisha unayoishi?

4)Je umeolewa ndoa ya mitala au ndoa ya mke mmoja na mume mmoja?

5)Mtoto wako wa kwanza ulimpata ukiwa na umri gani na je ulimpata ndani ya ndoa au nje ya ndoa?

6)Je wakati unaolewa ulikuwa umefikisha angalau miaka 20?


Jibu haya kabla sijakutwanga maswali mengine.
 
Una hoja ya msingi sana Comrade ila mimi nikimquote na kumuuliza maswali wadau wananipinga wanasema nafanya fujo hapa kwenye interview yake...
So fresh kabisa kutuambia baadaye ni ubaguzi huo, angejibu tu maswali ya kila mtu hapa.
 
Back
Top Bottom