The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,732
- 4,924
Watoto wa kike wakipigana sababu huwa za kitoto kama hizi[emoji23] [emoji23]Unauliza kwa sifa mno namna hyo inatakiwa auloze DJ ww ambaye ni host wa show.
Sasa wewe Audience unapokonya MIC kwa host na kujipa wasifu kivuli hizo ndyo fujo zenyewe.
Au mnanipigania warembo wng[emoji23] [emoji41]