Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Well in good
 
Umeongea vizuri sana aliye na macho na aone
Utaratibu ni kwamba akishajibu swali anaulizwa lingine ama vipi...halafu mbona sina maswali mengi ambayo hayafiki hata kumi..ila usiwaze nimemuelewa amesema nivute subira

Na ww team ubuyu??[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivi ww huwa ni KE??
 
Bibi nina swali moja tu, mengine nimeridhika nayo waliyouliza wadau.

Tangu ujiunge JF ushawahi kupewa BAN? Mara ngapi?
Nyingi sana. Walikuwa hawajanielewa, waliponielewa wakaelewa kuwa ni asset, hususan "comments" zilipoanza kunukuliwa na wabunge.

Niliwahi kuwa na cheo cha @JF ban 1, sifahamu mwengine aliyepewa ban mpaka kufikia cheo hicho.
 
Nyingi sana. Walikuwa hawajanielewa, waliponielewa wakaelewa kuwa ni asset, hususan "comments" zilipoanza kunukuliwa na wabunge.

Niliwahi kuwa na cheo cha @JF ban 1, sifahamu mwengine aliyepewa ban mpaka kufikia cheo hicho.
Daaahhhh!

Sikutarajia hayo majibu kabisa na nimeuliza nikiwa natarajia kupata habari kuwa hujawahi kupewa BAN kutokana na jinsi unavyoshiriki mijadala.

Yaani hadi ulipewa gamba la JF ban 1, daaahhh!!

Hata sasa hivi hili suala la Ban linavuma sana japo wengine wanakuwa wanasema ukweli lakini wananyamazishwa kwa mtindo huo.

Nashukuru kwa majibu mazuri sana.
 
Ambae hajajibiwa aidha kaleta swali lisilo na maadili au alikuwa anatafuta ubishi.

Wale ambao wanahisi sijawajibu maswali yao ambayo hayapo katika makundi hayo mawili wayarudie ntayajibu.
Watakuja tu sasa hivi wapo kwenye usahili wa cocochanel.

Ngoja na mimi nikawatembelee.
 
Hapana, sijaolewa.

AlhamduliLlah mimi na Mume wangu tumeoana kwa zaidi ya miaka 35 sasa.

Tuna watoto 5 nilipoteza wawili. La haula wala quwatta ila bi Llah.
Hukupoteza wawili ila ulipotewa na wawili....kwani wewe ndiye uliowapoteza au kusudi la Allah lilitimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…