Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Mbona haji kujibu maswali huyu kizee wa ccm....
Au anajiona special sanaa??
 
5. No short cut in life.

Vijana wasome sana, wafanye kazi sana.

Maisha mazuri hayaji bila kazi.
 
5. No short cut in life.

Vijana wasome sana, wafanye kazi sana.

Maisha mazuri hayaji bila kazi.

Ngoja niongeezee, nimeikuta hii copy and paste katika group letu la Vitendo saccos, ina maana sana:

ANGALIA UMRI WAKO, UPO SAHIHI? UMEKOSEA? UNAHITAJI KUJIREKEBISHA?!!!

20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako.

25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato.

30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha.

35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na kama ni tayari basi nenda step nyingine ya kumiliki kama ni Gari au kuongeza nyumba na hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka misingi.

40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, kama hukuwahi kununua kiwanja, kama hukujenga basi hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto wao.

45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko nyuma basi umri huu ni wa kuanza kuwatengenezea mazingira watoto wako, kama ni shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni kupitia zile hatua za 35 - 40.

50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia nguvu au akili nyingi

60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia misingi ya wanao inaendaje.

70 - 80 = Kula matunda
80 - nk = Umri wa kusubiria mauti
Yote kwa yote, maisha yetu yapo mikononi mwa MUNGU, kumbuka kufanya Ibada wakati wote...

WEWE UKO HATUA IPI, TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Thank you.
 
Ahsante Bibi!!
 
Kuoana ni sawa zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya kuolewa na kuoana.
kama ndoa yenu ni ya kiislam thibitisha kwa dalili kwamba hujaolewa bali mmeona.

mimi nakuwekea ushahidi hapa kuonyesha mwanaume ndio aanemuoa mwanamke.
Na si kinyume chake.

Allah anasema:
Na ikiwa mnaogopa kua hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili, au watatu au wanne.
Na kama mkiogopa hamtowafanyia uadilifu oeni mmoja tu.an-nisaa: "3

NINAKUPENDA SANA MAMA YANGU KWA AJILI YA ALLAH

ushauri wangu pamoja na kwamba una elimu kubwa ya mazingira.
Pia nakuomba jitahidi sana kukaa kwenye darsa bora za kiimani. ki ukweli itakusaidia sana mama yangu kukujenga kiimani na itakuondelea mitazamo kama hii ya kimagharibi.

nakutakia kheli.
 

Sura na Aya hiyo hiyo neno "fainkihu" ni "2nd person plural imperative verb"
PRON – subject pronoun
الفاء واقعة في جواب الشرط
فعل أمر والواو ضمير متصل في محل رفع فاعل

Ni neno la kabla ya tendo, amri. Tendo lenyewe ni kuoana, huwezi kuoa pasi na kuwa na mwenza wa kuoana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…