Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5. No short cut in life.FaizaFoxy mimi nauliza maswali kadhaa tu ya mwisho kwa kuwa yale mengine umenijibu vyema..Nimevuta subra kama ulivyosema..
Sasa maswali yangu ni haya..
1: Unachukuliaje suala la Malezi ya watoto hasa katika kipindi hiki cha Utandawazi? Uonavyo wazazi wanatimiza wajibu wao ipasavyo??
2: Kuna dhana imejengeka kwenye jamii yetu kuwa Mwanamke akipata elimu anakuwa na kiburi/majivuno na kumuona mumewe hafai, wewe unaonaje hili suala ni sawa au sawa? Je wewe limeshakukuta??
3: Ni kweli kuwa baadhi yenu nyie wanawake hampendani ninyi kwa ninyi?? Nini huchangia hili??
4: Ukipewa nafasi ya kuongeza/kupunguza kitu hapa JF ungeongeza nini au kupunguza nini...je unawashauri nini wamiliki wa mtandao huu pendwa??
5: Unawashauri nini vijana wanaotafuta mafanikio kwa njia za mikato (shortcut)??
Na mwisho kabisa unapendelea kufanya nini upatapo muda wa ziada..
(Mimi maswali yangu ni hayo tu, ukinijibu nitashukuru sana, asante)
Mkuu nilihisi umepiga chini maana siku zimepita toka hilo swali5. No short cut in life.
Vijana wasome sana, wafanye kazi sana.
Maisha mazuri hayaji bila kazi.
Kweli kabisa..5. No short cut in life.
Vijana wasome sana, wafanye kazi sana.
Maisha mazuri hayaji bila kazi.
5. No short cut in life.
Vijana wasome sana, wafanye kazi sana.
Maisha mazuri hayaji bila kazi.
Thank you.Kama wa zamani utakumbuka kuna movie ikiitwa Black Mama White Mama. Mmoja wa ma actress, Pam Grier, alifanya movie iitwayo Foxy Brown. Akasahaulika jina lake halisi la Pam Grier na akawa maarufu kwa jina la Foxy Brown.
Enzi hizo wakanifananisha nae.
Situations zipo nyingi,hata kuoga pia.Akiwa na mumewe havai ndo mana akasema inategemea na situation. Acha uvivu wa kufikiria
Ahsante Bibi!!Ngoja niongeezee, nimeikuta hii copy and paste katika group letu la Vitendo saccos, ina maana sana:
ANGALIA UMRI WAKO, UPO SAHIHI? UMEKOSEA? UNAHITAJI KUJIREKEBISHA?!!!
20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako.
25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato.
30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha.
35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na kama ni tayari basi nenda step nyingine ya kumiliki kama ni Gari au kuongeza nyumba na hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka misingi.
40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, kama hukuwahi kununua kiwanja, kama hukujenga basi hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto wao.
45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko nyuma basi umri huu ni wa kuanza kuwatengenezea mazingira watoto wako, kama ni shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni kupitia zile hatua za 35 - 40.
50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia nguvu au akili nyingi
60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia misingi ya wanao inaendaje.
70 - 80 = Kula matunda
80 - nk = Umri wa kusubiria mauti
Yote kwa yote, maisha yetu yapo mikononi mwa MUNGU, kumbuka kufanya Ibada wakati wote...
WEWE UKO HATUA IPI, TAFAKARI CHUKUA HATUA.
Yes, NI MUHENGA.No such thing,remember faiza isn't Miss!
Nimeelekeza juu huko.Ohoo tujuze mamii
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Mbona haji kujibu maswali huyu kizee wa ccm....
Au anajiona special sanaa??
Ki ajuza uko vyema.
Wa Aleykum Salaam.Asalaam aleykum!
Njoo DM uone hii sura km utaivumilia kweli japokuwa chenji zipo!Unaambiwa mwanaume pesa,sura tunavumilia...😛
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125]Hope nimewahi
kama ndoa yenu ni ya kiislam thibitisha kwa dalili kwamba hujaolewa bali mmeona.Kuoana ni sawa zaidi. Kuna tofauti kubwa kati ya kuolewa na kuoana.
kama ndoa yenu ni ya kiislam thibitisha kwa dalili kwamba hujaolewa bali mmeona.
mimi nakuwekea ushahidi hapa kuonyesha mwanaume ndio aanemuoa mwanamke.
Na si kinyume chake.
Allah anasema:
Na ikiwa mnaogopa kua hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili, au watatu au wanne.
Na kama mkiogopa hamtowafanyia uadilifu oeni mmoja tu.an-nisaa: "3
NINAKUPENDA SANA MAMA YANGU KWA AJILI YA ALLAH
ushauri wangu pamoja na kwamba una elimu kubwa ya mazingira.
Pia nakuomba jitahidi sana kukaa kwenye darsa bora za kiimani. ki ukweli itakusaidia sana mama yangu kukujenga kiimani na itakuondelea mitazamo kama hii ya kimagharibi.
nakutakia kheli.