Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

Ficha ujinga wako wa kutokuijua dini yako
 

Uislam ni mwepesi sana kuuelewa na kuufuata, hauhitaji zaidi ya Qur'an kuufahamu vilivyo. Soma.
 
Kama mwanaume ameambiwa aoe, mwanamke si ndio anae olewa au unataka kuniambia mwanamke nae ameamrishwa amuoe mwanaume?.

Kama sivyo itabaki kama aya inavyosema kuna muoaji na muolewaji.

Unaonekana umeathirika na mfumo wa kimagharibi,
hizo ndio sera zao.

HOJA ZAKO HAZINA USHAHIDI BALI NI MITAZAMO YA KIMAGHARIBI TU.
 

Kwanza yapaswa uelewe maana ya kuoa na kuoana. Mwanaume ataoa bila ya kuwa na wakuoana nae?

Mkioana mnakuwa zawj (pair) mtakuwaje pair bila kuoana? Chukuwa kandambili na makubadhi yaoanishe yataoana? Fikiri.
 
Katika interview ya Leo nashukuru nimejifunza kitu kutoka kwako Faiza Fox.

Jazaq llwah kheri.
 
Leo sipati picha kama kitakalika huku...jitahidini kuandika kwa ufasaha sana na wale wa kuchapia Kiswahili na English kuweni makini
Mbona umeshachapia kwa kuchanganya lugha mbili tofauti?
 
Kwanza yapaswa uelewe maana kuoa na kuoana. Mwanaume ataoa bila ya kuwa na wakuoana nae?

Mkioana mnakuwa zawj (pair) mtakuwaje pair bila kuoana? Chukuwa kandambili na makubadhi yaoanishe yataoana? Fikiri.
Kanda mbili wacha zioane zina sifa zinazofanana, na kazi zao pia zinanafanana.

Mume na mke hawaoani (hawafanani) kila mmoja anasifa tofauti majukumu tofauti
Hawa ni watu ambao hawaoani hawafanani sifa zao katika ndoa wala hawafanani utendaji wao.

Hapa huna hoja mama yangu unachokifanya hapa ni kutetea sera za kimagharib (usawa).
Hiyo ni kinyume kabisa naelezo ya qur an.
Hakuna usawa kati ya mwanaume na mwanamke.
 

Sera ya kuoana Kiislam ndiyo iliyokuja kumpa mwanamke haki zake. Soma kijana.
 
kwenye wivu hata mimi nime note hilo.... hongera kwa kuona kwa jicho la tatu... lol


go Dj Sepetu go.
 
Kama wa zamani utakumbuka kuna movie ikiitwa Black Mama White Mama. Mmoja wa ma actress, Pam Grier, alifanya movie iitwayo Foxy Brown. Akasahaulika jina lake halisi la Pam Grier na akawa maarufu kwa jina la Foxy Brown.

Enzi hizo wakanifananisha nae.
Mtu mzima umekula chumvi ya kutosha. Hongera kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…