kama ndoa yenu ni ya kiislam thibitisha kwa dalili kwamba hujaolewa bali mmeona.
mimi nakuwekea ushahidi hapa kuonyesha mwanaume ndio aanemuoa mwanamke.
Na si kinyume chake.
Allah anasema:
Na ikiwa mnaogopa kua hamtowafanyia mayatima uadilifu, basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili, au watatu au wanne.
Na kama mkiogopa hamtowafanyia uadilifu oeni mmoja tu.an-nisaa: "3
NINAKUPENDA SANA MAMA YANGU KWA AJILI YA ALLAH
ushauri wangu pamoja na kwamba una elimu kubwa ya mazingira.
Pia nakuomba jitahidi sana kukaa kwenye darsa bora za kiimani. ki ukweli itakusaidia sana mama yangu kukujenga kiimani na itakuondelea mitazamo kama hii ya kimagharibi.
nakutakia kheli.