Faiza Foxy live interview on DJ sepetu show!!

AlhamduliLlah, zamani tukisema "nnadunda".

Kwanza shukran sana kwa kunikaribisha. Ni vyema watu humu tukaelewana.

Nashukuru kwa mwaliko na nashukuru audience, nilikuwa nasoma comments kabla ya huu mkabala. Karibia zote ni njema.
FaizaFoxy tutakuwa tuna like maswali Na majibu awali ili twende sambamba.
 
Bi mkubwa faiza naomba unijibu maswali haya,una umri gani? Kwenye mabandiko yako unaongelea sana maisha ya nje je, uliishi nchi gani.na serikalini umewahi fanya kazi?taaluma yako ni ipi?[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…