Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hope nimewahi
Umechelewa dk 1 mkuu.Hope nimewahi
Muda umefikaaaaRevolution kwa host kama kawaida.
Maswali yetu tayari tumeweka mifukoni akitokea tu tunarusha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Kusomea ujinga
Halafu usijishaue[emoji23][emoji23]
Karibu Faiza wajionaje na hali!
Karibu sana,Hope nimewahi
AlhamduliLlah, zamani tukisema "nnadunda".Karibu Faiza wajionaje na hali!
Hatari sanaKwenye ubuyuuu
aiseeeAlhamduliLlah, zamani tukisema "nnadunda".
Kwanza shukran sana kwa kunikaribisha. Ni vyema watu humu tukaelewana.
Nashukuru kwa mwaliko na nashukuru audience, nilikuwa nasoma comments kabla ya huu mkabala. Karibia zote ni njema.
Unajivunia nini maishani kwako bibieAlhamduliLlah, zamani tukisema "nnadunda".
Kwanza shukran sana kwa kunikaribisha. Ni vyema watu humu tukaelewana.
Nashukuru kwa mwaliko na nashukuru audience, nilikuwa nasoma comments kabla ya huu mkabala. Karibia zote ni njema.