Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Maswali yangu vipi hukuyaona?Mengi sana, maisha yangu yote nimekuwa kwanza naishi kwa jamii halafu ni mimi mwenyewe. Yanayoonekana na Yasiyoonekana.
Huwa sifanyi kwa sifa nafanya kwa kuwa ni wajibu wangu.