The List
JF-Expert Member
- Mar 25, 2017
- 1,732
- 4,924
Mimi nawapemda nyie watoto wazuriHuwezi kunipenda kwa kuwa nausumbua moyo wako unafukuta kwa wivu!
Huna lolote ni roho mbaya ndo unaijua ndio maana upo hapa kuonyesha huo upimbi wako kumtukana Faiza bila aibu.
Aliyekuambia mm nahitaji kupendwa Na mtu kama wewe nan?
Mimi nakuona ka kyupi yako iliyotoboka katikati
Hamna sababu ya kuchanana kutoka moyoni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
msipigane nyie ni wake wenza kwaio muelewane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]