Faiza: Ushindi wa Sugu hauna faida kwangu

Faiza: Ushindi wa Sugu hauna faida kwangu

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,936
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa, Faiza alisema alivyosikia ushindi wa Sugu wala hakufurahi kwani alimchukulia kama mtu mwingine tu aliyeshinda.

Mimi kwa kweli ushindi wa Sugu naona kama wa mtu mwingine, haunihusu wala kunisaidia chochote mimi na mwanangu. Yeye ana maisha yake na sisi tuna maisha yetu hivyo nikisema eti nimefurahi yeye kushinda nitakuwa nawadanganya, alisema.

GPL
 
Rais Mstaafu mmoja angekuwa na KHADIJA KOPA na misemo yake angewini sana kwenye taarabu.Alisema zamani kidogo WIVU WA KIKE juzi akasema WAPUMBAVU NA MAROFA.Sijui ndiye aliyepiga wimbo wa MWANA MKE MAZINGIRA?
 
Eti Lady Gaga wa bongo hahaha waafrika tabu sana.
 
Eti Lady Gaga wa bongo hahaha waafrika tabu sana.

Yaani kaazkwelkwel, sijui wanamfananisha la Lady Gaga kwa lipi , wanadhan Lady Gaga alipata umaarufu duniani kwa kuvaa chupi hadharani pekee kama huyu malaya?
 
Anayasema hayo utazani mkewe....mf..yuu

Anamtamania tu

Asepe zake na kucha kutafuta kiki kwa kumtaja taja alifikiri drama zake na kulia kukosa penzi asingepata ubunge tena

Akwendleeeee
 
Ni nani....?

Suuugu.....

Na nani?
 
Kwani ile movement ya sugu asipigiwe kura na wanawake imeishiaga wapi???

Nonsense tena mwambieni sugu ameongoza Tanzania nzima kwa wabunge wenye kura nyingi!!!
 
hahaha,kwikwikwi, BUKANGA umenkumbusha hyo sugu moto chini,yule ni hatar faidha akacheze na watakamteremko wenzie.
 
Back
Top Bottom