Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani wengine tunatumia tochi hatuoni hivyo viandishi tudadavulieni basi au mtupe hiyo username ya mama Sasha tukajionee wenyewe IG naomba tu asiwe private user maana mpk aniaprove uji utakuwa ushapoa.
huyo Faiza na muheshimiwa vilikuwa vitu viwili tafauti!
aiseeeeeeeeee.. kuna watu wana info za wenzao mpaka naogopa.
mmh kazi ipo.umbea wote wa wadada wa mujini,unapatikana IG