Faiza wa mheshimiwa, achanwa IG

Faiza wa mheshimiwa, achanwa IG

Aaaaaah aaaah dah binamu upo juu, hutaki kupitwa na habar za mujini, kweli lakin ukitak cha uvunguni sharti uiname, mzima lakin?

Hahaha umbea shuti uwe na vifaa muhim ....me mzima bwana, aje Pande hzo?
 
Kuna mtu kanichekesha humu jamanii watu tunapend udaku basi tu Heaven @on @earth hebu mdadavulieee mwenzio hataki kupitwaaa lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaha umbea shuti uwe na vifaa muhim ....me mzima bwana, aje Pande hzo?

Niko fresh jembe langu, pita pita yangu Leo mujini nikaipata hii, nikasema lazima tugawane huu ubuyu na binamu Yang, sema itakuwa poa tuki meet yale maeneo nyet binamu
 
Nasikia masogange kakamatwa tena au ni uzushiii!!
 
Niko fresh jembe langu, pita pita yangu Leo mujini nikaipata hii, nikasema lazima tugawane huu ubuyu na binamu Yang, sema itakuwa poa tuki meet yale maeneo nyet binamu

Njoo basi uniume sikio....mji bila kupeana neno hausimami huu
 
Hivi ya kajala na clement wa wema mmeyasikia lakini....?@warumi na Heaven on Earth?

Mimi tena binamu? Dah kajala sio mtu mzur kabisa, kwa hyo kaamua kumsalit wema kwa ajili ya brevis ? Dah halaf nasikia yule pedeshee wake wa china kambwaga kisa kajala alikuwa anamlazimisha amle ndogo dah inauma sana hawa Dada zetu
 
Last edited by a moderator:
Mimi tena binamu? Dah kajala sio mtu mzur kabisa, kwa hyo kaamua kumsalit wema kwa ajili ya brevis ? Dah halaf nasikia yule pedeshee wake wa china kambwaga kisa kajala alikuwa anamlazimisha amle ndogo dah inauma sana hawa Dada zetu

Njaa mbaya
 
wema nae njaa nasikia kamtumia message clement amuazime mil kumi, ck kamtolea nje, dah tatizo wema anampenda ndomo sema ndomo hampi hela kama bwana Ck

Hehehehe mji huu una mengi...anataka atoe movie eehh
 
Mi nataka nimuone huyo Faidha sura yake jamani,halaf kumbe sugu alikua anammega jack

Ungekuwa fb ungemuona maana kila siku alikuwa anapost picha zake na sugu na mtoto wao sasa sijui ndo atazifuta lol
 
Hiyo ya kajala ndo nimetoka kuisoma insta hahaha nimechekaje kweli kuna watu bila kuuza pussy maisha hayaendi
 
Good time an amiss kweli...domo bahili

Halafu nasikia hawapatan na madam, kajala siku izi best yake penny na Victoria kiman yule demu aliyezinguana na wema studio kisa ndomo, mbaya zaid had picha yake kaipost mtandaon, dah bora wema angemuacha tu aozee jela
 
Back
Top Bottom