Faiza wa mheshimiwa, achanwa IG

Faiza wa mheshimiwa, achanwa IG

Uyo mdaku anasema Faiza kakimbilia kibaha? kwani faiza kwao wapi..
 
duuh makubwa haya
attachment.php
 
Simu yangu mie inaninyima uhondo jamn aah? Heaven ni dadavulie mama angu mpenz msiniache nyuma na mie
 
Hehehehe umbea anaupenda vifaa hana. Umbea wataka miundombinu Hasa... Ma iPad, iPhone, window phone,n.k

Aaaaaah aaaah dah binamu upo juu, hutaki kupitwa na habar za mujini, kweli lakin ukitak cha uvunguni sharti uiname, mzima lakin?
 
Back
Top Bottom