warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
salam kibao si useme tu unachokitaka!!!!
Unachokita binamu nakijua , aya ni pm fasta nikupe uji wa moto kabla haujapoaa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
salam kibao si useme tu unachokitaka!!!!
Aaaaaah aaaah dah binamu upo juu, hutaki kupitwa na habar za mujini, kweli lakin ukitak cha uvunguni sharti uiname, mzima lakin?
Hahaha umbea shuti uwe na vifaa muhim ....me mzima bwana, aje Pande hzo?
Hahaha umbea shuti uwe na vifaa muhim ....me mzima bwana, aje Pande hzo?
Mi nataka nimuone huyo Faidha sura yake jamani,halaf kumbe sugu alikua anammega jack
Niko fresh jembe langu, pita pita yangu Leo mujini nikaipata hii, nikasema lazima tugawane huu ubuyu na binamu Yang, sema itakuwa poa tuki meet yale maeneo nyet binamu
Hivi ya kajala na clement wa wema mmeyasikia lakini....?@warumi na Heaven on Earth?
Mimi tena binamu? Dah kajala sio mtu mzur kabisa, kwa hyo kaamua kumsalit wema kwa ajili ya brevis ? Dah halaf nasikia yule pedeshee wake wa china kambwaga kisa kajala alikuwa anamlazimisha amle ndogo dah inauma sana hawa Dada zetu
Mi nataka nimuone huyo Faidha sura yake jamani,halaf kumbe sugu alikua anammega jack
Njaa mbaya
wema nae njaa nasikia kamtumia message clement amuazime mil kumi, ck kamtolea nje, dah tatizo wema anampenda ndomo sema ndomo hampi hela kama bwana Ck
Hehehehe mji huu una mengi...anataka atoe movie eehh
Mi nataka nimuone huyo Faidha sura yake jamani,halaf kumbe sugu alikua anammega jack
Hiyo ya kajala ndo nimetoka kuisoma insta hahaha nimechekaje kweli kuna watu bila kuuza pussy maisha hayaendi
Katumia gia ya kuazima , wema anamic ma good time, c unakumbuka binamu zile MBE mbwe za sepetunga? Toka awe na ndomo umezisikia?
Good time an amiss kweli...domo bahili