Faiza wa mheshimiwa, achanwa IG

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
Haya ndio aliyoshushiwa na team husika. Mie sikujua kama na kipozeo cha mheshimiwa ni mtoto wa mjini...! mengine tumuachie mheshimiwa mwenyewe.



 
Nimesoma hii ki2 nikashtuka kumbe nae macho juu walamii wamempa za uso
 
Pliz picha ya huyu dadaa umbeaa umenikunaaaaaaaaaa !!!!!!!
 
Mmmmmh kweli wengine hatuna S.L.P mjini maana haya sikua nayajua hata kidogo hapa ndo nasanuka makubwa haya ngoja nipite kimya.
 
mmh kazi ipo.umbea wote wa wadada wa mujini,unapatikana IG
 
huyo Faiza na muheshimiwa vilikuwa vitu viwili tafauti!
 
Jamani wengine tunatumia tochi hatuoni hivyo viandishi tudadavulieni basi au mtupe hiyo username ya mama Sasha tukajionee wenyewe IG naomba tu asiwe private user maana mpk aniaprove uji utakuwa ushapoa.
 
aiseeeeeeeeee.. kuna watu wana info za wenzao mpaka naogopa.
 
Huyo faiza alikuwa anajifanya beach baby eti anamgeza jack Patrick wakat lenyewe limezeeka, mh sugu sijui kwa nini alimuacha Jacky akaenda kwa gube gube
 
Sasa ndio nimeelewa kwa nini Sugu hanywi bia bali anakunywa Konyagi na redbull.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…