Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
....teh hee hee..,yani we bibi ni mse.... sana!Sikukuu ya 9 Disemba + week end + viroba vya kuhongwa na wanaume wenzio = Nyege mshindo.
Alokuambia FaizaFoxy ni mwanamke nani?Msione hivi mwenzenu kila siku silali namuwaza huyu bibie mrembo na kipenzi cha moyo wangu FAIZA FOX Y.
Tatzo mm ni domo zege na ninahofia sijui niingie na gia gani ya kumtongoza bibie maana sio wa mchezo mchezo useme eti atakukubalia tu harakaharaka muwe wapenzi.
Kwakweli nimeamua kubadili mpaka dini ili nimpate bibie kipenzi cha moyo wangu,najua itakuwa sio rahisi lakini nitajitahidi mpaka nimpate mrembo huyu asiye na maringo wala majivuno.
Faiza fox bebi wangu mtarajiwa,nakuomba unionee huruma mwenzio silali,sipati hata hamu ya kula yaani nikiona post yako tu jf ninachoka kabisa, Najua utakuwa umeshaolewa kitambo lakini PLEASE naomba ufanye juu chini ikiwezekana niwe hata mchepuko wako kwani ukinikatalia naweza hata nikanywa sumu jaman ..
Naomba na WANA JAMII FORUM wenzangu mnisaidie jamani kuniunganishia kwa huyu cha moyo wangu jamani nateseka mimi.
Akina Mshana jr na wengine naomba sana jamani niko seriously jamani naombeni mniokoe nisije nikanywa sumu bure na nyie mpo mnaoweza kuniunganishia kwa bebi wangu wa moyo faiza foxy
_dume suruali_
Dinazarde nauckia moyo wangy kama una kitu juu yako vileee....... Karibu pm [emoji125] [emoji125] [emoji125] natanguliaYaaan nilikua sijacheka toka asubuhi asante sanaa
You arw welcomeDinazarde nauckia moyo wangy kama una kitu juu yako vileee....... Karibu pm [emoji125] [emoji125] [emoji125] natangulia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] haupo nchini???Nasikia mvua inanyeesha Tanzania, kweli?
Bahati ilioje hii...... Em naomba nikija huko usinizingue.... Wana jf unaeza kuta mkapata wifi hapa[emoji39] [emoji39] [emoji39]You arw welcome
Yaani najuta ...ningejua ningejiita DUME MIPESADUME SURALI yaweza ikawa tatizo
Pia ni mwaka ambao kumekuwa na BAN nyingi Sana mfano mimi DUME SURUALI nimeshapigwa ban Mara 16Nasema hivi 2016 ni mwaka ambao JF imekuwa na threads za hovyo na kipuuzi kuliko mwaka mwingine wowote tokea kuanzishwa kwake jf
Watu wenye roho mbaya wamesababisha nimkose faizaAkikujibu utuletee mrejesho
Pole sana mkuuWatu wenye roho mbaya wamesababisha nimkose faiza
sio kiasi Fulani, yupo upstairs vizuri kweliIla huwa naona kiasi flani Faiza yuko smart upstairs japo simpendi
Yuko smart ila usmart wake mara nying anautumia kwa mambo ya kijingasio kiasi Fulani, yupo upstairs vizuri kweli