Faizafoxy Mwanamke wa shoka, ubishe usibishe

Labda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....

Kibushiti Faiza hakina Jipya zaidi ya kuandika kimachinga Nna,Nntu n.k Umependa ufupi wake nini?
 
Hamna wadau nisiowapenda kama wale wasioongea kwa hoja ila wenyewe wanakimbilia kusema "JF umejiunga lini?"
Sasa nashindwa kuelewa anadhani kipindi yeye yupo JF wewe ulikua umelala tu haufanyi maswala yoyote ambayo yamekupa maarifa ya leo hii kukaa naye meza moja mkapanga hoja au vipi?
Wanakera sana watu wa hivi
 
FaizaFoxy anasimamia hojka zake, hayumbishwi hata muwe kikundi
 

Mkuu hayo ni maoni yake kwa FaizaFoxy.
Usimhukumu Foxy kwa mawazo ya Bujibuji.

Faiza ni mwanamke Kama walivyo wanawake wengine anachoongelea huyo mtoa post nadhani ni Uzoefu wa huyo Mwanamama katika Jukwaa hili na sio uwezo wake wa Kiakili anaodhani unashinda wanaume 1000.

Bujibuji hajatoa uthibitisho wa kivipi, kwa namna gani Faiza huweza kuwapoteza Wanaume 1000 katika anga kwa hoja zake.

Huenda pia Bujibuji uwezo wake ni Mdogo Sana hivyo asomapo nyuzi na maoni ya huyo mtu ajiitaye Faiza hujikuta akiona uwezo wapekee.

Pia pengine anazungumzia uwezo wa kukosoa. Faiza anauwezo mkubwa wa kukosoa kuliko kutoa hoja. Hilo wadau nadhani wanalijua.

Faiza hawezi kuzuia hisia zake hasa linapokuja suala la imani. Hujikuta akiropoka Kama MTU aliyekanyagwa mguuni.

Mwanamke shujaa ni yule asiyeongozwa na hisia wala Mihemko.

Mwanaume dhaifu ni yule aongozwaye na mihemko na hisia bila kutumia akili.
 
JF umeijua lini? Tuulize tuliotokea Jambo Forums
Wewe unamfahamu kupitia JF Mimi namfahamu physically katika uhalisia wake.... Hayo aliyoyasema ni uongo mtupu mwambie alete ithibati kama ataweza
 
Ukikiona kilivyo utacheka hadi ufe kisha utajihurumia kinaishi kariakoo
 
Hata Mimi nimulizwa hilo swali
 
Ana misimamo yake na anasimamia anacho kiandika mwisho wa siku kama binadamu wengine ana mapungufu yake.
 
kuna kauli wenyewe wanasema "kuchamba kwingi, kutoka na m@v!"
 
FaizaFoxy anasimamia hojka zake, hayumbishwi hata muwe kikundi
hojka = hoja

Jisemee wewe pekee, ndio dhaifu kwake... mimi nampiga chini kwa ujingawake wote aletao na anajua namzidi kila kitu na nimeshamuambia mimi ni mwalimu wake na akatulia sasa wewe unaleta hoja zako dhaifu sababu wewe ni Dhaifu...

Nilimdhibiti kwenye hoja zote iwe za dini,kisiasa n.k.... Faiza kwako wewe ndio humuwezi anapokudanganya au kukuchota akili... so next time jisemee wewe mwenyewe acha kudharaulisha Wanaume na Tatizo lako nahisi wewe Bujibuji ni jinsia Tofauti na Sisi wanaume ndio maana thread yako ya Matako yako yanatingishika sana ukiijiita Gilesi nilijua ulichemka ila kwa sasa nimeamini wewe ni Jinsia ya Kike na kama sio wa kike basi ni kweli una makalio makubwa... so unaona wanaume hawana uwezo wa kudebate na huyo Faiza.

weka Hoja Muhimu zilizokufanya uwe Shabiki wake... Mwanamke Mwenzio...
Namvyomjua Faiza akimsema Nyerere , Uislam popote pale duniani na Kushabikia Wanaume wa kikristo kuoana kwa jinsia moja ambapo ref zake huwa ni fake news na zile za Unyanyaso wa vitoto katika kanisa la Vatican yeye huchukulia ndio wakristo wote... sasa huwa tunamshinda kwa hoja wewe unasema anashinda wote tena zaidi ya 1,000 kha! we acha udhaifu...
 
Siku hizi wake wenza wanapendana hadi wanasifiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…