Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Labda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Kibushiti Faiza hakina Jipya zaidi ya kuandika kimachinga Nna,Nntu n.k Umependa ufupi wake nini?