Faizafoxy tunaomba mrejesho kutoka Vitendo Saccos

Weka huo uzi.

Nikiumwa chochote kile si ajabu, mimi ni binadam na wanaoumwa huwa hawaombei kuumwa au wewe unaona ajabu mtu akiumwa?

Usifikiri aumwae ni mtihani wake pekee bali ni mtihani mkubwa kwa watu kama wewe ambao hamfahamu maana ya kuumwa.
Usijali bawasiri itapona tu baada ya muda kidogo.
 
Majibu ya nini?
VITENDO SACCOS[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Sijawahi kusikia kitu kinaitwa "greda la mchanga". Fanya tafiti yako vizuri uje japo na chenye usahihi kiduchu..
Unaamisha magoli mmama ile screenshot inajieleza kila kitu ila vp ile biashara mlifanikiwa mana namie imenivutia kutokana na ushawishi wako kwa jinsi ulivyowekeza na jinsi ulivyo kuwa unatupa mrejesho wa ile saccos
 
Unaamisha magoli mmama ile screenshot inajieleza kila kitu ila vp ile biashara mlifanikiwa mana namie imenivutia kutokana na ushawishi wako kwa jinsi ulivyowekeza na jinsi ulivyo kuwa unatupa mrejesho wa ile saccos
Sijakuelewa. Kuwa muwazi ueleweke.
 
Ule udongo ni kiboko aisee,mpk umeweza kukaa?

Bawasiri soon itaisha yote,utarudi hali yako ya kawaida.
Naona huna jipya, unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Tatizo kuwa na bawasiri? Au wewe robot huuguwi?
 
Na so far mhamasishaji wa kununua hisa nae hajaja na majibu mpk sasa hivi.
Kwanini utafute majibu kwa "mhamasishaji" wakati aliyetaka kuanzisha saccos yupo humu JF na anaweka namba zake za simu wazi kabisa. Wasiliana nae umuulize upendacho, namba zake hizo: Abdul +255 625 249605

Usiandikie mate na wino upo.
 
Jamani wanaume mwenzangu mbona kila mlichoulizwa kimepanguliwa mnaishia kuchecheka tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au mnamsingizia bi mdada wa watu.
Halafu wala hatumii nguvu kuwajibu mpk raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…