FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mbona nipo. Nijipange nini na nimeulizwa, nimeshajibu. Au kuna swali lingine linalonihusu sijalijibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nipo. Nijipange nini na nimeulizwa, nimeshajibu. Au kuna swali lingine linalonihusu sijalijibu?
Ooh vyema sana. Inaitwaje hiyo saccos ?Sacos yetu inaendelea vizuri sheikh, na sasa tuna majengo manne ya misikiti huko kawe!
"Huyo bibi" mbona yupo kwenye uzi anajibu yanayomuhusu na anapuuzia yasiyomuhusu.Huyo bibi akija vumbi lake utaliweza?
Bibi awape mrejesho wa nini wakati zipo nyuzi za aliyeleta wazo la saccos humu na nadhani ni "verified member"?Hakuna kinachoshindikana..... Maana ilimradi atupe mrejesho ABCs za huko
Nani huyo "hawezi kuja"?Hawez kuja kama aliharibu
"MaKaburi" yepi tena? Mbona nipo hapa nimeitwa, nimeulizwa na nimejibu swali na bado nnaupitia uzi na nnajibu kila linalonihusu?Mwamba unafukua makaburi joooh
Huyo "mama mwenzake" si ana nyuzi zake humu unaweza kwenda muuliza upendacho, tena nijuavyo ni "verified member".A
Asisahau kuja na yule mama mwenzake aliyekua anauza nae dawa ya kuondoa kipara.
Huyo "mama mwenzake" si ana nyuzi zake humu unaweza kwenda muuliza upendacho, tena nijuavyo ni "verified member".A
Asisahau kuja na yule mama mwenzake aliyekua anauza nae dawa ya kuondoa kipara.
Duh, Mbona unawatukana wenzako?Dawa za kuondoa kipara tena..
Kama mlikiwa na watu wa namna hiyo pole mlishapigwa.
Nini "za kipara zilishatangazwa"?Duu kweli..... Nshakumbuka...... Hadi za kipara zilitangazwa...
Post uliyoijibu inaongelea "dawa" wewe unajibu "kutunziwa hela"!Hahah daah mi mambo ya Kutunziwa hela na watu wengine sio hobby yangu mkuu.
Siyo "alikuwa anaitwa", hilo ndiyo jina lake halisi na naona kwenye huo uzi wake kuwa ni "verified member". Kwani alibadili jina?Hahah yule bi.mkubwa alikua anaitwa Zainab Tamim
Uzi wa Saccoss:Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba
Vipi umepona bawasiri?Post uliyoijibu inaongelea "dawa" wewe unajibu "kutunziwa hela"!
Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au ni upunguani wa asili?
Uliwahi kuandika humu JF kwamba bawasiri inakusumbua sana lkn uliambiwa ule udongo hua unasaidia sana ukiupaka kwny eneo husika.Siyo "alikuwa anaitwa", hilo ndiyo jina lake halisi na naona kwenye huo uzi wake kuwa ni "verified member". Kwani alibadili jina?
Na yupo na bado anaendelea na biashara yake na kila nikiwa Tanzania nnanunua "udongo" wake.
Hahahaha makubwa haya! Basi replace Mungu with Allah kisha ujibu"Mungu" yupi? "Mungu" wa Yesu au "Mungu" Yesu?
Kumbuka tu, Waislam tunamuogopa Allah pekee. Asiyezaa wala kuzaliwa.
Hao na hayo mengine ogopa wewe.
Sema ukweli umuaibishe shetaniNini ambayo "ni kweli?".
Mimi nililipenda sana wazo la kuanzishwa saccos ya namna hiyo na maslahi yangu binafsi wewe yanakuhusu nini?
Mbona mbeya hivyo?
Imebidi nichekeUliwahi kuandika humu JF kwamba bawasiri inakusumbua sana lkn uliambiwa ule udongo hua unasaidia sana ukiupaka kwny eneo husika.
Vipi kwa sasa bawasiri iliisha?