mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hahah yule bi.mkubwa alikua anaitwa Zainab TamimDuu kweli..... Nshakumbuka...... Hadi za kipara zilitangazwa...
Uzi wa Saccoss:Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah yule bi.mkubwa alikua anaitwa Zainab TamimDuu kweli..... Nshakumbuka...... Hadi za kipara zilitangazwa...
Kumbe mjasiriamali mzuri sana mama yetuA
Asisahau kuja na yule mama mwenzake aliyekua anauza nae dawa ya kuondoa kipara.
Mwanaharakati huyo mzee baba.
Canada kwa Wagalatia?Au alijianzishia uzi huyu bibi...ila si nasikia yupo Canada lakn
Ndo wakina nani haoCanada kwa Wagalatia?
Tuanue tanga
Habari wana JF!!
Mwanzon mwa 2017 aliibuka mwanamama aliyeanzisha uzi Hapa kuhusu VITENDO SACCOS. Mambo mengi yaliendelea na updates nyingi kuonesha kuwa mradi wao Ulikuwa Uko vp!! Mmoja wa wadau Maarufu humu ambaye alionekana kuunga mkono na kuanza kushiriki Ni FaizaFoxy.
Sasa Mimi Kama mdau wa JF ambae Sasa natka kujuwa wamefikia wapi, Faiza naomba tupe mrejesho wa Faida au mradi ulishakufa? Maana wengine kipindi hiko walikuwa wanategemea mirejesho ya wadau waliowekeza ili na wao waamini ili wawekeze huko.... Sasa mbona Hakuna update Toka 28 October 2017? Au humu Hakuna mdau aliyeshiriki ile saccos?
Watapewa maelezo kwani wao ni wanachama?Ahsante kwa kuniita. Nimefanikiwa kuwasiliana na alyeubuni mradi huo na kaahidi kuja kutolea ufafanuzi.
Hahaha
HahahA
Asisahau kuja na yule mama mwenzake aliyekua anauza nae dawa ya kuondoa kipara.
HahahaHahah daah mi mambo ya Kutunziwa hela na watu wengine sio hobby yangu mkuu.
Jibu murua sanaAhsante kwa kuniita. Nimefanikiwa kuwasiliana na alyeubuni mradi huo na kaahidi kuja kutolea ufafanuzi.