FAIZAFOXY umenipa nini lakini?

Kwa sasa yuko Zanzibar anamguide yule mfalme wa Morocco anaekula vest kubwa zenye nembo mmea wa Bob Marley!

Wallahi kwa pale ndugu zangu waislamu mmeibiwa!
 
May be it is the natural beauty coupled with Intelligence and grace
 
Vijana wanaokula na kulala bila bila utawajuwa tu.
 
Watu wanaumia kuona Faiza kapendwa.Mkuu kama vp mapenz hayo hamishia kwao
 

Ahsante sana, hivi sasa nimeanzisha ukurasa wa Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Karibu sana uchangie mada huko. Kuna maswali mengi ambayo nnaulizwa na nnauhakika kuna wengi humu wana uwezo wa hali ya juu wa kujibu mengineyo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…