Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu naona umeamua kupenda Bakwata.
[emoji23] [emoji23]Ungejua Faiza ni kundi la umoja wa wabibi waishio CANADA
Ndiyo!Ushawah kumuona???
Wewe unatafuta makuu ha ha ha haView attachment 425986
Msione kimya
Hadi muda huu anahangaika kulog in
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
May be it is the natural beauty coupled with Intelligence and graceAsalaam Alaiykum,
Kipenzi, mtoto mzuri, sweetheart, Mrembo, Mvumilivu, Bibie FaizaFoxy toka siku ya kwanza tufahamiane mpaka tulipoachana alasiri ilee, nashindwa kukusahau wewe pamoja na vitendo vyako.
Zaidi ucheshi na utundu wako. Kwanini nashindwa kukusahau lakini?
Hii ni mara ya 3 nakuota tu wacha kukuwaza kwani imeshakuwa kero mpaka nimezoea.
Mbona sipati mwingine nimuwazae kama wewe mrembo?
Eti mshana jr, hii hali huwa inatokana na nini?
Damn!!! Why this cute lady?
Asalaam Alaiykum,