Halafu kila siku nakufundisha matumizi ya hii alama (=) alama hii inamaanisha kilichokuwa upande mmoja ni sawa na kilicho upande mwingine
Hivyo basi hapo utakuwa hujarekebisha kitu ,unajikuta mjuaji kumbe mweupe tu kichwani
Bibi faiza naona umepatikanaNa hichi?
Kikongwe siasa inamtokea puani, anatamani hata ahame ccm lakini kwasababu anamaslahi nayo hawezi toka. Ila ukumbuke kwamba mtu yeyote ambae anajipatia faida kwa kukandamiza wengine pepo hataionja na unaona yanayoendelea chamani kwako.nivema ujitoe kwenye chama na ubakie kama ulivyo maana mshika mawili moja hupokonyoka. Nakushauri muunge mkono Mange kimambi mwislamu mwezako ila mwambie apunguze matusi although hoja anayo nzuri sana .Naam, na ndivyo kilivyokusudiwa.
1+1 = ?
Sasa umeandika nini hapo?Naam, na ndivyo kilivyokusudiwa.
1+1 = ?
Sasa umeandika nini hapo?
Kichwani hamna kitu kabisa ,rudi shule tu hamna namna
Rudi shule ukajifunze matumizi ya equal sign1+1 = ?
Wewe kilichokuwamo kitu mbona unashindwa kujibu?
Hapo sasa!
ako na popcorn pembeni lakin?Yupo anasoma yanayoendelea ya Daudi A. Bashite
Mjibu kwanza swali.lake mkuu...Rudi shule ukajifunze matumizi ya equal sign
Hakosi hiyo kitu . chezea bibi weyeako na popcorn pembeni lakin?
Na hichi?
Sio kila swali inabidi mtu umpatie jibu bali kumpuuza na hilo ndilo jibu zuri kwa mtu mpuuziMjibu kwanza swali.lake mkuu...
Sio kila swali inabidi mtu umpatie jibu bali kumpuuza na hilo ndilo jibu zuri kwa mtu mpuuzi
Sitaki kuamini mkuu,inawezekanaje kweli?Yupo ghetto ana mimba yangu
Hahah hapana chezea.kweli mkuuHakosi hiyo kitu . chezea bibi weye
Utaamin tuSitaki kuamini mkuu,inawezekanaje kweli?
Sawa mkuu,ila unajua anakusikia hapa.Sio kila swali inabidi mtu umpatie jibu bali kumpuuza na hilo ndilo jibu zuri kwa mtu mpuuzi