FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Halafu kila siku nakufundisha matumizi ya hii alama (=) alama hii inamaanisha kilichokuwa upande mmoja ni sawa na kilicho upande mwingine
Hivyo basi hapo utakuwa hujarekebisha kitu ,unajikuta mjuaji kumbe mweupe tu kichwani
Naam, na ndivyo kilivyokusudiwa.
1+1 = ?