Faizafoxy yupo wapi?

Mashaala ukhti wetu Allah kamjaalia kwakweri mambo mengi 2mejifunza kutoka kwake
 
Huyu dada nimemuweka kinyumba na nimemzuia siasa, habari zake niulizeni mimi kuanzia sasa full stop, kwa sasa ananiudumia mm mme wake.
 
Huyu dada nimemuweka kinyumba na nimemzuia siasa, habari zake niulizeni mimi kuanzia sasa full stop, kwa sasa ananiudumia mm mme wake.
ananiudumia=ananihudumia..ila ntamuuliza ka ni kweli mkuu.
 
Asalam aleikum....wapi dada FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…