Ndio maana yakeKwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
swali la msingi hujajibu....Have you ever seen your brain? kwa kutoiana akili yako wewe mwenyewe kunakufanya usiwe na akili? kwama upeo na ufahamu wako ni finyu acha kujibishana na mimi.Acha kuwa mtumwa wa fikra na utamaduni kijana
Ndio maana nasema hakuna kitu kinaitwa mungu kinapaswa kuabudiwa. Hebu fikilia kwa undani. Kama kweli ni mpango wake kuna haja gani ya kumtangazia ubaya huyo shetani na kusema atawachoma watu pamoja na yeyeNdio maana yake
Kuhusu akili na imani ni vitu viwili tofauti. Akili ni cheo ambacho hupewa mtu mwenye uwezo wa kufanya vitu vinavyoendana na mazingira. Kuhusu mungu ni imaniswali la msingi hujajibu....Have you ever seen your brain? kama sivyo huna akili?
Unajua, tumejiweka mbali na muumba wetu halafu hapo hapo unataka ujue mipango yake very interesting.Ndio maana nasema hakuna kitu kinaitwa mungu kinapaswa kuabudiwa. Hebu fikilia kwa undani. Kama kweli ni mpango wake kuna haja gani ya kumtangazia ubaya huyo shetani na kusema atawachoma watu pamoja na yeye
Hakuna muumba wewe. Ni wahuni walituletea dini wakaondoka na madiniUnajua, tumejiweka mbali na muumba wetu halafu hapo hapo unataka ujue mipango yake very interesting.
Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambinusuhela said:Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
Naomba kuwepo kwenye hilo groupHiyo hata kwenye group ya wasap ya jamiiintelligence tuliwahi kuijadili
mkuu hujawahi kuuona ubongo wako lakini umewahi kuuona ubongo wa binaadamu mwingine,sasa mungu amewahi kuomnekana wapi.?Acha kuwa mtumwa wa fikra na utamaduni kijana
Bila nambaNaomba kuwepo kwenye hilo group
Nakutumia pmBila namba
[emoji15] [emoji15] [emoji87] ...sidhani km kuna utapeli kwenye uwepo wa MunguKwani yupo kweli? Au ni utapeli uliotukuka
Upo. Tena ni mkubwa sana. Ila huwezi kuuona kwani walijipanga na wazee wetu wakaupokea. Wanatuaminisha maisha ambayo hayapo ili waendelee kututawala wakati kwa upande wetu tunaamini Haya maisha ya duniani hayana thanani bali maisha halisi yapo ukifa. Huo ni utumwa[emoji15] [emoji15] [emoji87] ...sidhani km kuna utapeli kwenye uwepo wa Mungu
Kama vile ambavyo Shetani alifake kuzaliwa kwa Masihi na mambo mengine ndivyo ambavyo atafake ujio wa pili wa Masihi...Eiyer wake up,utupe Nondo..😀
Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi
Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]
Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii
Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.
Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo
Mwisho akafukuzwa.
Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]
Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi
Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!
So lucifer alikua nani???Umechanganya madesa mkuu..
Lucifer hakuwa malaika...
Malaika hawana free will
Binadamu ndo mwenye free will
Hivyo binadamu anauwezo wa kuasi na kutubu, malaika hawawezi.
Inawezekana wewe unazungumzia kwa mujibu wa Imani tofauti na Ukristo.....Umechanganya madesa mkuu..
Lucifer hakuwa malaika...
Malaika hawana free will
Binadamu ndo mwenye free will
Hivyo binadamu anauwezo wa kuasi na kutubu, malaika hawawezi.
Ahsante chief,Eiyer said:Kama vile ambavyo Shetani alifake kuzaliwa kwa Masihi na mambo mengine ndivyo ambavyo atafake ujio wa pili wa Masihi...
Kuna picha ambayo inajulikana na wengi kama ni picha ya Yesu,ukweli ni kwamba picha hiyo inayodhaniwa kuwa ni ya Yesu sio kweli bali ni ya fallen angel mmoja anaefahaika kama Sananda na jina hili linajulikana kwa wafuasi wao na alishafanya kikao na wafuasi wake na akawapa maelekezo namna ya kufanya
Picha hii yenye sura ya mzungu mwenye ndevu nyingi na sura ya aina fulani imeshatangazwa sana na imeingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kiwango cha kutisha na hata leo ukiwaambia huyu ni nani utasikia wakisema kwamba huyu ni Yesu
Mbinu hii ilianza zamani sana na kupewa baraka na makanisa ya Kikristo kufikia