Fake alien invasion

Fake alien invasion

Kwasababu uwezo unaoongelewa juu yake ni tofauti na uhalisia uliopo. Kwa mfano mnasema yeye ndo muweza wa yote. Sasa jiulize kama yeye ni muweza wa yote. Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
Ndio maana yake
 
Acha kuwa mtumwa wa fikra na utamaduni kijana
swali la msingi hujajibu....Have you ever seen your brain? kwa kutoiana akili yako wewe mwenyewe kunakufanya usiwe na akili? kwama upeo na ufahamu wako ni finyu acha kujibishana na mimi.
 
Ndio maana yake
Ndio maana nasema hakuna kitu kinaitwa mungu kinapaswa kuabudiwa. Hebu fikilia kwa undani. Kama kweli ni mpango wake kuna haja gani ya kumtangazia ubaya huyo shetani na kusema atawachoma watu pamoja na yeye
 
swali la msingi hujajibu....Have you ever seen your brain? kama sivyo huna akili?
Kuhusu akili na imani ni vitu viwili tofauti. Akili ni cheo ambacho hupewa mtu mwenye uwezo wa kufanya vitu vinavyoendana na mazingira. Kuhusu mungu ni imani
 
Ndio maana nasema hakuna kitu kinaitwa mungu kinapaswa kuabudiwa. Hebu fikilia kwa undani. Kama kweli ni mpango wake kuna haja gani ya kumtangazia ubaya huyo shetani na kusema atawachoma watu pamoja na yeye
Unajua, tumejiweka mbali na muumba wetu halafu hapo hapo unataka ujue mipango yake very interesting.
 
nusuhela said:
Je, uwepo wa shetani ni mpango wake?
Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi

Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]

Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii

Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.

Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo

Mwisho akafukuzwa.

Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]

Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi

Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!
 
Ha ha ha! Watu bhana wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Yesu, kabla ya kushuka;
1. Atawafufua wateule waliolala,
2. Atawanyakua wateule walio hai,
3. Wote hawa watapaa kumlaki Huko mawinguni.
4. Ngurumo, radi, na dunia itatikisika atakapoonekana mbele ya macho ya wanadamu. Nk

Acheni mchezo nyie.

Watakaobaki hapa ardhini imekula kwao.

Sasa, huyo yesu fake wa hao illuminanti atayafanya hayo?! Wajinga ndo waliwao.
 
daaah mbona naanza kuona kama illuminate wakikamilisha bs hyo siku itakua ya kutisha sana, duh
 
[emoji15] [emoji15] [emoji87] ...sidhani km kuna utapeli kwenye uwepo wa Mungu
Upo. Tena ni mkubwa sana. Ila huwezi kuuona kwani walijipanga na wazee wetu wakaupokea. Wanatuaminisha maisha ambayo hayapo ili waendelee kututawala wakati kwa upande wetu tunaamini Haya maisha ya duniani hayana thanani bali maisha halisi yapo ukifa. Huo ni utumwa
 
Eiyer wake up,utupe Nondo..😀
Kama vile ambavyo Shetani alifake kuzaliwa kwa Masihi na mambo mengine ndivyo ambavyo atafake ujio wa pili wa Masihi...

Kuna picha ambayo inajulikana na wengi kama ni picha ya Yesu,ukweli ni kwamba picha hiyo inayodhaniwa kuwa ni ya Yesu sio kweli bali ni ya fallen angel mmoja anaefahaika kama Sananda na jina hili linajulikana kwa wafuasi wao na alishafanya kikao na wafuasi wake na akawapa maelekezo namna ya kufanya

Picha hii yenye sura ya mzungu mwenye ndevu nyingi na sura ya aina fulani imeshatangazwa sana na imeingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kiwango cha kutisha na hata leo ukiwaambia huyu ni nani utasikia wakisema kwamba huyu ni Yesu

Mbinu hii ilianza zamani sana na kupewa baraka na makanisa ya Kikristo kufikia hatua ya kuwaaminisha watu kwamba huyu ni Yesu.Ndio maana akitokea mtu fulani ambae anakaribia kufanana na sura hiyo utasikia watu wakisema kwamba "anafanana na Yesu"

Wakati wa Yesu hakukuwa na camera na wala hakuna mahali ambapo aliacha hata vitu vya kuweza kutoa hisia kuwa alifanana naamna gani.Baati mbaya zaidi ni kwamba Yesu hakuwa mzungu kama watu wanavyofikiria leo bali alikuwa ni mtu mweusi kabisa kama Wafrika walivyo leo

Sasa unaweza kuona kwamba,kama Yesu akitokea leo halafu akatokea na yule fake watu wanaamini ni yupi halisi

Lengo la kuwafanya watu waaminishwe kuwa Yesu anafanana kwa namna fulani ambayo sio ni hii hii ya kuja kufake ujio wake ambao utawadanganya wengi

Hiyo project uliyoisema na project nyingine inayofahamika kama CERN zote zina lengo moja tu la kuubadilisha ulimwengu kutoka huu kwenda mwingine wenye malengo na maisha mengine

Kinachofanyoka sasa ni kutengeneza mazingira rafiki ya tukio hili la kutisha na la ajabu kwa wale wasiofuatilia mambo nyeti....
 
Mungu hakumuumba shetani,wala hakuumba Dhambi

Mungu alimuumba Malaika mwenye uhuru wa kuchagua na kufanya maamuzi
[Freewill]

Malaika,kama tulivyo sisi,wana uhuru wa kutii au kutotii

Lucifer akatumia uhuru wake aliopewa na Mungu,kutokutii,akaasi.

Mungu akampa,nafasi ya kutubu makosa yake,lakini hakufanya hivyo

Mwisho akafukuzwa.

Huwezi kumlaumu Mungu,kwanini alimuacha Lucifer atende dhambi.Huo ulikuwa ni uchaguzi wake yeye mwenyewe[Lucifer]

Ni sawa na kumlaumu mzazi,"hivi wewe kwanini mwanao ni Jambazi,teja,au mwizi

Si kosa la mzazi,ni kosa la mtoto!

Umechanganya madesa mkuu..
Lucifer hakuwa malaika...

Malaika hawana free will

Binadamu ndo mwenye free will

Hivyo binadamu anauwezo wa kuasi na kutubu, malaika hawawezi.
 
Umechanganya madesa mkuu..
Lucifer hakuwa malaika...

Malaika hawana free will

Binadamu ndo mwenye free will

Hivyo binadamu anauwezo wa kuasi na kutubu, malaika hawawezi.
So lucifer alikua nani???
 
Umechanganya madesa mkuu..
Lucifer hakuwa malaika...

Malaika hawana free will

Binadamu ndo mwenye free will

Hivyo binadamu anauwezo wa kuasi na kutubu, malaika hawawezi.
Inawezekana wewe unazungumzia kwa mujibu wa Imani tofauti na Ukristo.....

Kwa mujibu wa Ukristo malaika wana free will na Lucifer aliasi.....
 
Eiyer said:
Kama vile ambavyo Shetani alifake kuzaliwa kwa Masihi na mambo mengine ndivyo ambavyo atafake ujio wa pili wa Masihi...

Kuna picha ambayo inajulikana na wengi kama ni picha ya Yesu,ukweli ni kwamba picha hiyo inayodhaniwa kuwa ni ya Yesu sio kweli bali ni ya fallen angel mmoja anaefahaika kama Sananda na jina hili linajulikana kwa wafuasi wao na alishafanya kikao na wafuasi wake na akawapa maelekezo namna ya kufanya

Picha hii yenye sura ya mzungu mwenye ndevu nyingi na sura ya aina fulani imeshatangazwa sana na imeingia kwenye kumbukumbu za watu kwa kiwango cha kutisha na hata leo ukiwaambia huyu ni nani utasikia wakisema kwamba huyu ni Yesu

Mbinu hii ilianza zamani sana na kupewa baraka na makanisa ya Kikristo kufikia
Ahsante chief,

Kuhusu Yesu kuwa mweusi,kuna uzi wa mdau fulani niliona anaelezea hicho kitu

Sasa ni lini hili tukio litatokea,na kwa malengo yapi?
 
Back
Top Bottom