Mimi mwenyewe niliamini halijibiki lakin baada ya kupitia maandiko vyema nilielewa vyema..natumia simu ngoja niki log in kwa PC nitakufafanulia vyema tu naamini utanielewa labda uamue kukaza ubongoNijibu hilo swali mkuu. Je uwezo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Usijibu kwa mazoea kwani huwa halijibiki
Poa nasubiri mkuu. Ila uwe makini maana ni swali gumu ambalo halijibiki. La sivyo Haya maisha yetu yawe ni movie na mungu ndo directorMimi mwenyewe niliamini halijibiki lakin baada ya kupitia maandiko vyema nilielewa vyema..natumia simu ngoja niki log in kwa PC nitakufafanulia vyema tu naamini utanielewa labda uamue kukaza ubongo
Swali gumu kwangu lilikuwa ni kama kweli mungu anatupenda kwanini ameruhusu tuteseke?hili ndo lilikuwa gumu kwangu lakn nilipata jibu so hilo lako wala sio gumu ka hiliPoa nasubiri mkuu. Ila uwe makini maana ni swali gumu ambalo halijibiki. La sivyo Haya maisha yetu yawe ni movie na mungu ndo director
Nahitaji majibu mkuu. Wewe ni jibu kuwa je uwepo wa shetani ni mpango wake au alifeliSwali gumu kwangu lilikuwa ni kama kweli mungu anatupenda kwanini ameruhusu tuteseke?hili ndo lilikuwa gumu kwangu lakn nilipata jibu so hilo lako wala sio gumu ka hili
"Pumzi waliyonayo wana wa Adamu ndio iwatiayo Ujeuri na Upofu kiasi hawaoni Umbali wowote zaidi ya Pua zao!!" - .......
Mungu pekee ndiye atakayeokoa Dunia hii. Na ninaamini wa uwezo wake, hakuna ashindwalo.Ndiyo NASA walitaka kufanya hii kwa kushirikuana na that pevert Billy Graham. It is like this,wanazionyesha hizi picha angani za Yesu kwa wanaomwamini Yesu. Wanaomwamini Budha,wanaonyeshwa picha ya Budha,anaongea nao kwa lugha yao. Na manabii wengine wengi. Baadaye hizi picha zote zinaunganika,zinakuja pamoja zinamuonyesha huyo tapeli anayetaka kuitwa mfalme wa dunia.
Jibu lake ni lipi?KAFA.cOm said:Swali gumu kwangu lilikuwa ni kama kweli mungu anatupenda kwanini ameruhusu tuteseke?
Tupe jibu.hili ndo lilikuwa gumu kwangu lakn nilipata jibu so hilo lako wala sio gumu ka hili
Chief una haraka!Jibu lake ni lipi?
Tupe jibu.
Suala la Imani ni gumu sana kujenga hoja mwingine akaamini,inachukua muda sana tena na ufuatiliaji wa hali ya juu.Ndo maana hata hapa kuna mabishano sana kuhusu Christian na Muslim,na wahindi wangekuwa wengi hapa basi hata budhist ingeingia.Hii vita haina mshindi hadi hapo tutakapoona ule mwisho wa dunia yetu,maana huo hakika upo maana hapo ndipo itakapojulikana nani alikuwa mfuasi wa kweli katika dini yake,kusipotokea lolote wasio amini dini watajipongeza.Mtabishana lakini hakuna atakayeshawishika hapa.Upo. Tena ni mkubwa sana. Ila huwezi kuuona kwani walijipanga na wazee wetu wakaupokea. Wanatuaminisha maisha ambayo hayapo ili waendelee kututawala wakati kwa upande wetu tunaamini Haya maisha ya duniani hayana thanani bali maisha halisi yapo ukifa. Huo ni utumwa