Fall of Luis Enrique and the rise of Zinedine Zidane

Mkuu nipo hapa huyu mkuu mara zote thread zake ni kuiponda Barca au Messi.hivo nishamzoea ila dawa yake inachemka DECEMBER 3
Nilitabiri madrid tutawafunga brca 6-0 ila kwa kuea juma mosi tumecheza vibaya na nyie marefa wana wabeba sana sasa nimetabiri 4-0 tuu
 
Mkuu nipo hapa huyu mkuu mara zote thread zake ni kuiponda Barca au Messi.hivo nishamzoea ila dawa yake inachemka DECEMBER 3
Mkuu hayo ni maoni yangu tuu hebu linganisha barca ya leo na ile ya miaka 5 nyuma timu imepungua makali hata ile fear factor kwa baadhi ya timu imepungua sikatai walikua na Majeruhi Wengi Pique,Alba,Sasa Iniesta ila kuna wachezaji muhimu wameondoka pale mapengo yao yameshindwa kuziba,Xavi na Alves pia wanatakiwa wasajili beki mmoja mzoefu kusaidiana na Pique pale nyuma Sikatai Marcherano ni mzuri ila kuna wakati anapoteza umakini Umri nao kidogo unachangia na asili yake ni kiungo yule

Ref nlishawai kupost kuhusu Kuondoka Kwa Dani Alves juzi nimepita kwenye Thread ya Barca pia kuna wadau wanazungumzia hili suala

Sijasema Madrid ana asilimia 100 ya ushindi game za hawa jamaa hazitaribiki mkuu.

Naongea Kimichezo na sio Kishabiki
 
Nilitabiri madrid tutawafunga 6-0 ila kwa kuea juma mosi tumecgeza vibaya na nyie marefa wana wabeba sana sasa nimetabiri 4-0 tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unafikiri hii ni MAN CITY[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waliokutandika 6
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu unafikiri hii ni MAN CITY[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waliokutandika 6
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka huu kwa timu ile Barca mki ifunga Madrid nahamia Burundi
 
Enzi za Guandiola aliwahi kupanga kikosi cha wachezaji wote waliopita la masia isipokuwa Eeick Abidal na Dan Alves. Wengine woote waliokota mpira pale la masia wakiongoza na captain puyol.
Na wachezaji wote waliopita La Masia viwango vyao haviyumbi kila mchezo wako Imara Busquet,Iniesta,Pique &Messi
 
nishawazoea na maneno yenu hata 2020 mtakuja sema Barca ya 2016 ilikuwa ni kali
kuhusu ALVES na XAVI ni wachezaji wazur ila hatuwez kuwa nao hadi uzeeni istoshe BARCA itatisha zaid kuna Serg Gomes na Denis Suarez pamoja na Umtiti hvyo wakishazoeana wachaw mkatafute lingine
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwaka huu kwa timu ike Barca mki ifunga Madrid nahamia Burundi
mkuu hata kwa Trump ulisema utahamia Burundi ila bado upo Newala unakula samaki nchanga[emoji232] [emoji1]
 
mkuu hata kwa Trump ulisema utahamia Burundi ila bado upo Newala unakula samaki nchanga[emoji232] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu nitake radhi nilikuwa wakala wa Trump Florida.

Mkimfunga Madrid utaniskia niko kwa Nkurunzinza
 
Reactions: PNC
Gomez is lazy

Halafu jana dennis Suarez ndio alikuwa mcgezaj bora wenu japo alicheza dk 45, you guyz mko hovyo sanaaa
 
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu nitake radhi nilikuwa wakala wa Trump Florida.

Mkimfunga Madrid utaniskia niko kwa Nkurunzinza
Florida ya Tandale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gomez is lazy

Halafu jana dennis Suarez ndio alikuwa mcgezaj bora wenu japo alicheza dk 45, you guyz mko hovyo sanaaa
huwez sema mchezaji bora ni aliyesawazisha[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Unaweza kuwa na wachezaji wazuri ila ukakosa mbinu bora ya kuwaunganisha ref kizazi cha dhahabu real madrid,Ronaldo,Figo,Beckham,Raul

Kinachowaharibu tena ni usajili usiokua na tija mf Alex Song,Fabregas mnataka kuwa kama baadhi ya timu za kibongo
 
Kwa unafki wako huwataji akina Rakitic, Neymar na Suarez. Endelea tu kuichukia Barca.
 
Mkuu naona Kama Luis Enrique timu imekua kubwa kuliko yeye japo kawapa kikombe ila zile touch zao zimepungua sana na hii sera yao ya kusajili ovyo ovyo wanataka kuwaiga real madrid sijui La Masia haitoi vyombo tena
Mkuu, wewe timu gani?
 
Mkuu nipo hapa huyu mkuu mara zote thread zake ni kuiponda Barca au Messi.hivo nishamzoea ila dawa yake inachemka DECEMBER 3
Anhaaa, kumbeeee. Jamaa ni mnafki huyu.
 
huwez sema mchezaji bora ni aliyesawazisha[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Simjui mtu huyo

Jana ila kama uliangalia gem dogo denni alifunika wote japo naye alicheza vibaya
Messi kama lisinge kuwa goli alikuwa ndo flop of the match

Si ipendi barca ila jana mmecheza hovyo kuliko miaka yote mi niliyo wahi kuona mna cheza, may be mlicheza hivo 2007 mara ya mwisho.

Refa ali waokoa na Vela alikuwa ndio Man wa match.
 
Reactions: PNC
Kwa unafki wako huwataji akina Rakitic, Neymar na Suarez. Endelea tu kuichukia Barca.
Daa kuna thread moja nlileta hapa watu wakasema Rakitic Sio mzuri
Nimeongelea Negativity sijagusa Positivity Aya Kuna Alex Song tena Na Fabregas leo wako wapi

Warudi tu kwenye sera yao ya kupika vyombo vyao wenyewe
 
Mpaka leo messi analaumu kuondoka kwa DAN ALVES Barca na kwanini hawakumpa mkataba mwingine sijui LA MASIA inakwenda kufa kabisa maana toka watoe kiungo RAFINHA mpaka leo bado sijaona mazao bora kama XAVI, INIESTA, PEDRO, FABREGAS, PUYOL, MESSI, VALDES nk. Hii timu ilikuwa bora mpaka mourinho alisanda mbele ya hawa wanaume na alikufa pale bernabeu. Na ukitaka uiodhoofishe barca wanyime MSN nafasi ya kupata mipira mingi kutoka kwa viungo wao kama IVAN na INIESTA na endapo hutawazuia hawa jamaa wawili utakufa tu hata kama utakuwa na mabeki wa aina gani maana hawa jamaa vichwa vyao havina akili lakini miguu yao ni zaidi ya akili ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…