Fall of Luis Enrique and the rise of Zinedine Zidane

Fall of Luis Enrique and the rise of Zinedine Zidane

Hii mechi tunawakalisha kama tunacheza na ruvu shooting..

Walah natamani hii gemu tuicheki pamoja.. Somewhere kwenye mizuka, kama Catalunya au koko [emoji1] [emoji23]

Ajajajajajajajaaaaaaaaa
Fanya hivyo basi?[emoji39] [emoji39]
 
kwa maneno yako unamaanisha Barcelona.wanaingia MSN pekee

BARCELONA HATUJAWAHI KUKATA TAMAA
Ivi Barca kutoka Msn Nani anagoli Nyingi mwingine?

We Ndugu unaongelea ushabiki na sio mpira.

Siku hizi hakuna watu wenye roho ngumu pale barca kama zama za akina Puyol,Deco de Souza,Xavi,Abidal waliobaki wote timu ikitangulia kufungwa ni Rahis sana kupoteana
 
Ivi Barca kutoka Msn Nani anagoli Nyingi mwingine?

We Ndugu unaongelea ushabiki na sio mpira.

Siku hizi kuna watu wenye roho ngumu pale barca kama zama za akina Puyol,Deco de Souza,Xavi,Abidal waliobaki wote timu ikitangulia kufungwa ni Rahis sana kupoteana
sasa ndio maswali gani hayo

KAZI YA MSN ni MAGOLI
hao wengine ni mara chache

au ulitaka Ter ndiye afunge
 
sasa ndio maswali gani hayo

KAZI YA MSN ni MAGOLI
hao wengine ni mara chache

au ulitaka Ter ndiye afunge
Kama kuna uwezekano naye ruksa kufunga...
Kikosi cha Barca sio kipana sana kulinganisha na Real Madrid

Kuna timu wakicheza na Barca wakijua Messi hayupo tiyari wanaweka mentali ya kupata ushindi kichwani kwao
 
sasa ndio maswali gani hayo

KAZI YA MSN ni MAGOLI
hao wengine ni mara chache

au ulitaka Ter ndiye afunge
1480429875748.png
hawa ni wataalamu wa mpira wanasema hivi goal.com sasa wewe Ndugu still bado hujaona Mapungufu tu ya kikosi
 
Ndo kusema wapinzani washajua mbinu za Luis enrique tangu afungwe na Man city UEFA cup hana matokeo mazuri kivile nyumban kaenda sare dhidi ya Malaga na Real Sociedad

Mwenzake Zidane ni Kicheko akiwa ndo kwanza Anaongoza ligi,Na wakitarajia kukutana 3 Dec Madrid anaonekana yuko vizuri zaidi akichagishwa na ushindi wa Goli 2-1 dhidi ya Gijon

Na ukiangalia kikosi cha Jana cha Barcelona nahisi kilikua kikitafuta mfumo na mbinu tu dhidi ya Game ya Tar 3 Dec sitarajii kuona mabadiliko Makubwa Kivile
Japo mechi za hawa jamaa hazitabiriki dk 90 ndo zinaamua matokeo pindi wakutanapo hawa wakali wawili

Je Luise Enrique Anatakiwa kubadili Mbinu zake?

3 Dec sio mbali sana mwenye kumiliki Kisu kikali ndo Atakula Minofu Zaidi
We nawe uliambiwa na nan kwamba game dhid ya Real Sociedad walikuwa home?
 
We nawe uliambiwa na nan kwamba game dhid ya Real Sociedad walikuwa home?
Malaga nyumbani Kameni akawaokoa.
Umekimbilia kutoa hukumu mkuu game dhidi ya Sociedad walikua Away
 
Back
Top Bottom